top of page
This site was designed with the
.com
website builder. Create your website today.
Start Now
HOME
FILM
ABOUT US
GALLERY
OUR MISSION
OUR VISION
CONTACT US
More
Use tab to navigate through the menu items.
OUR FILM
Short Film. Future Film, Documentary & Music Video
All Videos
Play Video
Play Video
PATIMA Swahili Movie with English Subtitle Zanzibar Short Film
PATIMA is the film that explains about real life that African children face in their life together with their parents .many African parents like to stay with their children's in force and not to give children's right to express themselves. #Swahili_Film_Media_TZ #Zenj_Movie #Bongo_Movie
Play Video
Play Video
Mizani Short Film From Zanzibar Winning Award ITALY & NIGERIA
Hii Ndio Film Kutoka Zanzibar Ilioshinda Tunzo Nchini Ital na Nigeria. ITALY: MiMo Mobile Film Festival : Best Documentary 2018 NIGERIA: African Smartphone Film Vestival : Best Picture 2018 Maelezo kwa Ufupi: MIZANI ni Film inayomuhusu Kijna ambae anaishi Katika Mazingira Magumu sana Pamoja na Mama yake, Kijana huyo inaumia sana kumuona mama yake anaishi Maisha ya Kuomba Omba na Kijana huyo anaamua kupambana kadri ya Uwezo wake ili Kuhakikisha Anamsaidia Mzazi wake Kumuondosha Katika Kadhia hiyo ya Kudhalilika. Film Hii Imeshutiwa kwa Kutumia Simu. Synopses: MIZANI is the film that consider a young child, young child who decided to fight with his all effort until he succeeds to help her mother to leave the task of begging and to give her mother a work that will give her the good profit, although the challenges that the young child faced but he did not give up until he succeeded his plan. This Film was Short by Android Phone Story: Eddie Salum Director: Muddie Sule Cinematographer: Eddie Salum #Swahili_Film_Media_TZ #Zenj_Movie #Bongo_Movie
Play Video
Play Video
Funga Tete Scene Shekhe Mshongo Hatari
Hawa ndio Meshekhe Washongo wasio uheshimu hata Mwezi wa Ramadhani na Haya ndio Matendo yao #Swahili_Film_Media_TZ
Play Video
Play Video
Funga Tete Movie Chibabi Akiomba Geto ndani ya Mwezi wa Ramadhani
Huu sio Utaratibu Mzuri kwa Vijana wa Kiislam. Tunazini mpaka ndani ya Mwezi mtukufu wa Ramadhani na Kusahau kua Tunafanya Makosa makubwa kwa Mola wetu..
Play Video
Play Video
FUNGA TETE Kipande cha Sheghe Akitongoza Ndani ya Mwezi wa Ramadhani..
Hawa ndio Masheghe wanaotumia Mwenvuli wa Dini Kwa kufanya Maasi..
Play Video
Play Video
Funga Tete Hawa Ndio Mashehe Wanaozini ndani ya Mwezi wa Ramadhani
Hawa ndio Masheghe Wanaotumia Mwenvuli wa Dini kwa Ajili yakufanya Maasi..
Play Video
Play Video
Mungu Nisamehe Best Scene
Chibabi Majalo na Mudie Sule. Muddy Anamlaumu Chibabi Kwanini kaowa Akiwa na Umri Mdogo.
bottom of page